Msaada

Munuo

Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
98
Reaction score
129
Wadau wa jf naomba msaada kwa kuangalia soko la ajira kati ya kozi ya diploma ya phamacy na bachelar ya human nutrition ipi bora nisome kwan nimechaguliwa izo mbili kwenye vyuo viwili tofauti
 
DOGO KASOME NUTRITION.

NIMEANDIKA KWA CAPS LOCK ON, USIPONIELEWA BASI.

Unforgetable
 
Wadau wa jf naomba msaada kwa kuangalia soko la ajira kati ya kozi ya diploma ya phamacy na bachelar ya human nutrition ipi bora nisome kwan nimechaguliwa izo mbili kwenye vyuo viwili tofauti
Soma Nutrition, wanaosoma Diploma ya Pharmacy ni wengi sana kwa sasa ila Nutrition ni wachache sana.

Uchache huo itakuwa rahisi kupata dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…