MSAADA

MSAADA

Nubian Ancient

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
958
Reaction score
1,182
Samahani sana Wadau.
Kuna dogo namuombea chuo.
Lakini majina yake aliyotumia kidato cha 4 ni tofauti na majina aliyoyatumia kidato cha 6.

Na kwenye kuaomba vyuo mambo yamegoma.
Naomba kufahamu namna ya kutatua tatizo hili.
tapatalk_1559174054475.jpeg
 
Nenda necta ukatoe maelezo,kuna mtu namfahamu hilo jambo limempata ameenda necta.
 
Note: USICHEZEE HATA HERUFI MOJA YA JINA LAKO KIENYEJI.
You will suffer consequence.
Ushauri: Aende mahakamani atoe 120,000 apewe kiapo cha majina. Hapo sasa apeleke direct kwenye taasisi husika anaweza kusaidiwa.
 
Note: USICHEZEE HATA HERUFI MOJA YA JINA LAKO KIENYEJI.
You will suffer consequence.
Ushauri: Aende mahakamani atoe 120,000 apewe kiapo cha majina. Hapo sasa apeleke direct kwenye taasisi husika anaweza kusaidiwa.
Taasisi gani sasaaa??
 
Suala la uniformity la majina huwa linaanzia kidato cha pili, iweje akiwa kidato cha sita abadili ilihali anajua..?

Udahili wa kidato cha tano alifanyiwa vipi?

Au aliingia Advance kinyemela?
Hata mimi nimeshangaa sanaaa
 
Hata mimi nimeshindwa kuelewa
Maan nimeshangaa tu majina yametofautiana.

Yaani Seleimani na Selemani
Hapo ndio kwenye tatizo.
Hilo kosa ni dogo na limetokana na kujisahau kwa kuongeza herufi "i"

Siku zote huwa wanasisitiza majina yafanane na uliyotumia kidato cha 4 ambapo pia yanafanana na uliyotumia kidato cha 2.

Ila aliposema jina lilibadilika alipobatizwa, nilishindwa kuamini.

Sasa inabidi muende NECTA mkawasilishe hilo kosa ili muweze kupatiwa uthibitisho wa uhalali wa hayo majina.
 
Ili ufanye mtihani darasa la Saba usajili wana-link na namba na majina uliofanyia mtihani darasa la nne, no way unaweza kujisajili Kwa majina mawili tofauti. Hali ni hivyo hivyo Kwa kidato cha nne wana-link na form two, kidato cha sita vile vile,

Muulize vizuri huyo amefanya forgerry mahali.
 
Back
Top Bottom