MSAADA

MSAADA

MCHARANGO JM

Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
44
Reaction score
11
mwaka jana yaani 2018/2019 nilidahiliwa na chuo flan hivi na nilisoma kwa semester moja tu baada ya mambo ya pesa kuwa magumu nilitimka sikutoa taharifa hata kwa dean was faculty yangu na mwaka huu 2019/2020 natarajia kuomba tena hivi linawezekana ili
Msaada wa mawazo kwa wenye uzoefu na hii situation
 
inabidi kuenda TCU wakutoe kwenye system hapo inabidi kupata barua kutoka chuo ulichosoma kwamba wew sio tena mwanafunzi wao then uende kupeleka barua TCU.
 
Nakushauri uanzie chuo ulikoacha, watakupa maelekezo nin chakufanya
 
Back
Top Bottom