Martini Lusale
New Member
- Jun 14, 2019
- 1
- 0
jamani nisaidie nina mdog wangu kahitimu form four mwaka huu kapata D-4 ana C-kiswahili na D-english anataka aende chuo aende chuo kipi na asomee kombi ipi ambayo itakuwa rahis kupata ajira
Kombi ya VETA.Hivi vyuoni kuna Kombi siku hizi
Mzeh,Msaidia kwa kumuelekeza cyo kwa kumuulza swal ,u never know maybe haelew vzrHivi vyuoni kuna Kombi siku hizi