KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Mar 24, 2019 #1 Habari Nimeharibu display ya simu yangu samsung galaxy c9 pro, imejaa wino. Nahitaji ku replace nina laki na nusu.......napata?
Habari Nimeharibu display ya simu yangu samsung galaxy c9 pro, imejaa wino. Nahitaji ku replace nina laki na nusu.......napata?
F Fofader JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 864 Reaction score 301 Mar 24, 2019 #2 Screen yako ni AMOLED au LCD? Zina bei tofauti. Kama ni LCD ina bei ya chini kidogo na hela yako inaweza kutosha. Kama haipatikani nchini unaweza kuagiza mwenyewe kwa AliExpress ingawa utahitaji fundi wa kuifunga. Sijui kama imesaidia au la? KOKUTONA said: Habari Nimeharibu display ya simu yangu samsung galaxy c9 pro, imejaa wino. Nahitaji ku replace nina laki na nusu.......napata? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Screen yako ni AMOLED au LCD? Zina bei tofauti. Kama ni LCD ina bei ya chini kidogo na hela yako inaweza kutosha. Kama haipatikani nchini unaweza kuagiza mwenyewe kwa AliExpress ingawa utahitaji fundi wa kuifunga. Sijui kama imesaidia au la? KOKUTONA said: Habari Nimeharibu display ya simu yangu samsung galaxy c9 pro, imejaa wino. Nahitaji ku replace nina laki na nusu.......napata? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app