Nenda settings > notifications > hapa utakuta options za notifications unazotaka kuzipata punde zitakapo jiri.
Kwa mfano uta tick hiyo unayotaka ya "if you get a new follower", so mtu akiku follow utapewa taarifa / notification kwamba "(name) started following you", then utaamua um follow back au la.
silent_ocean