Msaada

Hope mko poa

Naombeni mnijuze software nzuri ya kukata audio... Kama ilivo adobe premiere kwenye video asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unakata tu audio ama video vlc inafanya hiyo kazi.

Fungua vlc yako kisha bonyeza view kisha advanced control. Utaona kuna control mpya zimetokea kwa chini, tumia hizo kukata.

Play audio yako mpaka sehemu unapotaka iwe mwanzo kisha bonyeza record halafu play mpaka mwisho unapotaka kukata maliza record. Utakuta kipande chako cha audio ama video kwenye folder la documents kama sijakosea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…