MSAADA

MSAADA

Yule boi

Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
21
Reaction score
8
Wakuu samahani,nilisajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita shule binafsi bahati mbaya nikashindwa kufanya mtihani na matokeo yangu yakaja na Alama x,je naweza pata nafasi ya kufanya mtihani tena??
 
Unaweza Ndio adi 2020 lakini ...private candidates
naijatwittersavages-20181221-0001.jpeg
 
Back
Top Bottom