Simu yako ina RAM ndogo na Storage ndogo kisha una apps nyingi umeziinstall ama simu ipo full kwa videos, pictures n.k?
Mara nyingi hii hutokea simu ikiwa na vitu vingi hivyo app unayofungua unakuta inashindwa kutulia kutokana na RAM pia kutumika ktk sehemu zingine.