msaada

msaada

france tz

Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
27
Reaction score
2
kama kuna mtu anajua jinai ya kuhama chuo kimoja kwenda kingine.....procidures....je na kwa muda huu naweza kuhama???
 
Kama umechaguliwa vyuo vya afya au ualimu au kilimo au community development unaweza ama nadhani.

Lakini sio uhame CBE uende IFM au NIT au TAA hapo haiwezekani.

Yani unaweza ama for same course kwenye vyuo ambavyo vipo chini ya Mwavuli mmoja. Mfano Public service Mtwara, Tanga, magogoni Nk
sem hujui sio haiwezekan.....hcho kitu kipo mzee
 
Kama umechaguliwa vyuo vya afya au ualimu au kilimo au community development unaweza ama nadhani.

Lakini sio uhame CBE uende IFM au NIT au TAA hapo haiwezekani.

Yani unaweza ama for same course kwenye vyuo ambavyo vipo chini ya Mwavuli mmoja. Mfano Public service Mtwara, Tanga, magogoni Nk
nimechaguliw MD st joseph sasa nataka nihame........
 
Kuhama unaweza, ila panatakiwa uwe fighter kwel utaingia ofic ambazo hukutarajia,
Kwanza kabisa nenda chuo ulichochaguliwa fanya usajili kila kitu, then nenda katafute nafasi sehem unayotaka kuhamia, nenda ofcn moja kwa moja usiogope, utapewa utaratibu otee, utajaza fom yao, baada ya week tu watakuwa wamekupa feedback

Note, bro alihama kutoka saut mpaka udsm na iliwezekana japo alihasoo
 
dah hapo kuhaso brooo
 
Unaweza kula boom lako semister ya pili,
Japo utapewa ela zako zote, so kama umejipanga unaweza amua
ko boom la semester ya kwanza sitapewa au..?.afu hyo semester ya pili nitapewa na boom la semester ya kwanza????
 
Mkuu hio semister ya kwanza unakuwa unahasoo kuhamisha mkopo kutoka chuo ilichotoka kwenda unachohamia....
 
kama kuna mtu anajua jinai ya kuhama chuo kimoja kwenda kingine.....procidures....je na kwa muda huu naweza kuhama???
Kuhama ni simple sana lakini kama una mkopo utasota sana maana mm yalinikuta hayo lkn saiv na enjoy maana heslb walishauhamisha na saiv naingia third year
 
ko jinsi ya kuhama???
 
Back
Top Bottom