killer_sir
Member
- Jun 30, 2016
- 7
- 1
Nimechaguliwa udsm cozi ya bachelor of art in archaeology & geography.....kwa anaeifaham vizuri anipe details zake na uzuri wake as well as ajira zake
Inahusika na nin na ajira zakeUnataka ufahamu mambo gani kuhusu hiyo kozi?
Nimechaguliwa udsm cozi ya bachelor of art in archaeology & geography.....kwa anaeifaham vizuri anipe details zake na uzuri wake as well as ajira zake
.
Inahusika na nin na ajira zake
hahahaha dogo kasukumizwa tuInahusiana na uokaji wa mikate, ajira yake ni nzuri pia.
Yaani unauliza kozi unayoenda kusoma, hata hujui inahusika na nini!![]()
.