davie_ki_boyfriend Member Joined Jul 16, 2015 Posts 7 Reaction score 4 Sep 28, 2018 #1 Naombeni msaada siku ya kulipoti chuo cha udsm,
Chapa Isimame Member Joined Aug 15, 2018 Posts 78 Reaction score 86 Sep 28, 2018 #2 davie_ki_boyfriend said: Naombeni msaada siku ya kulipoti chuo cha udsm, Click to expand... Kesho ndo wanaripoti mdgo wangu
davie_ki_boyfriend said: Naombeni msaada siku ya kulipoti chuo cha udsm, Click to expand... Kesho ndo wanaripoti mdgo wangu
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,191 Reaction score 29,749 Sep 28, 2018 #3 Aah huu uandishi utasoma na kufaulu wewe?
Agresive JF-Expert Member Joined Feb 18, 2018 Posts 891 Reaction score 1,237 Sep 28, 2018 #4 davie_ki_boyfriend said: Naombeni msaada siku ya kulipoti chuo cha udsm, Click to expand... haya maswali mengine huwa siyaelewi, hivi huwezi kuingia kwa website yao ukatafuta pia kama unasoma hapo hujuw ratiba ya hapo, au kama umechaguliwa hapo huna form ya maelekezo???
davie_ki_boyfriend said: Naombeni msaada siku ya kulipoti chuo cha udsm, Click to expand... haya maswali mengine huwa siyaelewi, hivi huwezi kuingia kwa website yao ukatafuta pia kama unasoma hapo hujuw ratiba ya hapo, au kama umechaguliwa hapo huna form ya maelekezo???
T THE MAYA EMPIRE Senior Member Joined May 6, 2018 Posts 106 Reaction score 149 Sep 28, 2018 #5 Yaani siku hizi kweli hatuzipi akili zetu mazoezi Ivi kama umechaguliwa hapo wakati unasoma hilo tangazo la majina,hao wenye kutoa tangazo wanaweka na tarehe ya kuripoti chuo Hii mizigo ya kutoelewa hii hata huko chuo mtasumbua sana
Yaani siku hizi kweli hatuzipi akili zetu mazoezi Ivi kama umechaguliwa hapo wakati unasoma hilo tangazo la majina,hao wenye kutoa tangazo wanaweka na tarehe ya kuripoti chuo Hii mizigo ya kutoelewa hii hata huko chuo mtasumbua sana
Agresive JF-Expert Member Joined Feb 18, 2018 Posts 891 Reaction score 1,237 Sep 28, 2018 #6 THE MAYA EMPIRE said: Yaani siku hizi kweli hatuzipi akili zetu mazoezi Ivi kama umechaguliwa hapo wakati unasoma hilo tangazo la majina,hao wenye kutoa tangazo wanaweka na tarehe ya kuripoti chuo Hii mizigo ya kutoelewa hii hata huko chuo mtasumbua sana Click to expand... labda lengo lake ni kutujulisha kuwa yeye kapata udsm, ila kaona aiwasilishe kwa mtindo huo, isionekane anatambia wengine!!!
THE MAYA EMPIRE said: Yaani siku hizi kweli hatuzipi akili zetu mazoezi Ivi kama umechaguliwa hapo wakati unasoma hilo tangazo la majina,hao wenye kutoa tangazo wanaweka na tarehe ya kuripoti chuo Hii mizigo ya kutoelewa hii hata huko chuo mtasumbua sana Click to expand... labda lengo lake ni kutujulisha kuwa yeye kapata udsm, ila kaona aiwasilishe kwa mtindo huo, isionekane anatambia wengine!!!