chindosaid
Member
- Aug 1, 2018
- 36
- 5
Napataje kumbukumbu zangu nilizofungulia account udom kila nkjarbu za mwanzo naambiwa nmekosea username au password
Ingia kwenye system pale unapofanya login choose forgot password then utaweka email utatumiwa code ya kureset kwenye email uliyotumia kufungua akaunti yakoNapataje kumbukumbu zangu nilizofungulia account udom kila nkjarbu za mwanzo naambiwa nmekosea username au password
Weka email yako hapo watakutumia ,kwenda kwenye email yako , ukishindwa waambie udom wenyewe wata resetNmefka mpka hku cjafankiwa ndg
Kma unaweza kusnisaidia nmba zao itakua safWeka email yako hapo watakutumia ,kwenda kwenye email yako , ukishindwa waambie udom wenyewe wata reset