Inabana mpaka wakati mwingine hua nafikiria kwamba inawezekana nailazimisha!!Power Adaptor ambayo unatumia inabana unapochomeka? kama inakuwa loose lazima isababishe leakage ya current ambayo husababisha heat.... na hatimaye kuungua, kama inabana, na ni recommended kwa hiyo laptop basi peleka laptop kwa fundi....
Nahisi huwa wanakubambikia Charger!,
Mimi yangu ni HP 6720 Charger inagonga kazi kama kawa, Jarib uend pale qprint kama upo dar kacheki alaf ongea na vijana.
Hapo pa kubambikiwa hapana....
Ngoja ninunue nyingine kwa mara ya mwisho...
Kama wall socket inayosababisha adaptor kuungua ni moja basi hakikisha pia conection za wall socket yako ziko sawa.
Kama adapator inaungua popote pale unachomeka basi inawezekana unanunua/unauziwa adpator isiyo kuwa na mfumo/ kiwango/vipim sahihi wa umeme
Lakini adapator kuyeyuka ni vizuri . Ni preventive measure .In the same case kwenye desktop computer matokeo ni power supply kuungua. Sababu compute haina adaptor.
While ni Tatizo adaptor kuugua lakini pia ni kama security mwasure ya kulinda laptop yako.
make sure unapochomeka ina bana kenye machine isiwe loose pia mistake ambayo weng tunafanayani kutumia extension .extension nyingi ni mnovu zinatumia wire laini kwa ndani .ina haribu vitu sana tumia socket ya ukutani ambayo ni nzima.