kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
Habari ndugu zangu wana jamii forum.
Mimi ni mwanamke, mwenye degree ya sayansi ya jamii, nilikuwa naomba kama kuna member yeyote yule amesikia kuna kazi sehemu yeyote ile au kuna nafasi ofsini kwake, nina nina weza kufanya kazi yoyote ile nikipata mafunzo kwa mda mfupi tu na sichagui mkoa wala wilaya.....sehemu yeyote ile naweza kufanya kazi maana nimeshafanya sana kazi za research.
Nisaidie wanajukwaa wenzangu maana huku mtaani mambo magumu na watoto wanalala njaa.
Asanteni sana.