Habari wakuu!
Kuna changamoto naiona kwenye app yangu ya Jf sijajua tatizo ni nini! Ni hivi nikitaka kutafuta kitu/Uzi fulani siipati icon ya "search" tofauti na awali nilikua na uwezo wa kutafuta ninachokitaka bila tatizo,kama kuna marekebisho yoyote yamefanyika Moods tusaidieni kutatua hili!
Nawasilisha!