Crownjunioral
Member
- May 8, 2016
- 47
- 16
asante, ila nimejaribu nimeshindwa kwa maana apps zote za goougle hazitaki...Jaribu ku add G account (email) kwenye setting afu jaribu tena kupdate google service
Ku add kwa kupitia setting imegoma? Sio kwa kudownlod nanaanishaasante, ila nimejaribu nimeshindwa kwa maana apps zote za goougle hazitaki...
ndio mkuu, labda unielekeze tafadhaliKu add kwa kupitia setting imegoma? Sio kwa kudownlod nanaanisha
Inasemaje?ndio mkuu, labda unielekeze tafadhali
nikijaribu kufanya hivo inaload kwa mda mrefu, then inakuja notification:View attachment 723951
Inasemaje?
Nilimanisha Jaribu hivi
Setting >accomt>add account>google/gmail utaweka email hapo then itaji configure kila sehemu hadi kwenye store. Picha hizo ni kwa aina ya tecno Android hazitofautian
Vr ambayo ipo installed ni 12.5.18, so nadhani ni compatible,, ila kuna m2 alinambia natakiwa kuinstal Google account manager tatizo litakuwa limeisha,, cjui unalizungumziaje hili?Ingia Google Play services APKs - APKMirror
Unstall iliyopo, Download latest afu install. Ikigoma utasema
Jaribu tu ilmradi mambo yakaeVr ambayo ipo installed ni 12.5.18, so nadhani ni compatible,, ila kuna m2 alinambia natakiwa kuinstal Google account manager tatizo litakuwa limeisha,, cjui unalizungumziaje hili?
Jaribu tu ilmradi mambo yakae
oke,, ngoja nijaribu nikujuze