DITRO YOSIA Member Joined Aug 1, 2016 Posts 26 Reaction score 3 Oct 24, 2017 #1 Jaman,mwenye PowerIso inayoweza kucreat image windows 7 Anisaidie
lindunduru JF-Expert Member Joined Aug 2, 2015 Posts 392 Reaction score 554 Oct 24, 2017 #2 Dondosha tu.mbina ipo sana
PlayBoyMwema JF-Expert Member Joined Jul 27, 2014 Posts 1,716 Reaction score 1,842 Oct 24, 2017 #3 Tumia rufus kuweka hiyo window kwenye Usb....
DITRO YOSIA Member Joined Aug 1, 2016 Posts 26 Reaction score 3 Oct 24, 2017 Thread starter #4 PlayBoyMwema said: Tumia rufus kuweka hiyo window kwenye Usb.... Click to expand... Mi nilitaka kutengeneza image window Kutoka kwenye CD
PlayBoyMwema said: Tumia rufus kuweka hiyo window kwenye Usb.... Click to expand... Mi nilitaka kutengeneza image window Kutoka kwenye CD
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,060 Reaction score 43,477 Oct 24, 2017 #5 DITRO YOSIA said: Mi nilitaka kutengeneza image window Kutoka kwenye CD Click to expand... tumia imgburn ndio mambo yake hayo, halafu ni bure. The Official ImgBurn Website
DITRO YOSIA said: Mi nilitaka kutengeneza image window Kutoka kwenye CD Click to expand... tumia imgburn ndio mambo yake hayo, halafu ni bure. The Official ImgBurn Website
DITRO YOSIA Member Joined Aug 1, 2016 Posts 26 Reaction score 3 Oct 24, 2017 Thread starter #6 Poa,mkuu nashkur
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,850 Oct 24, 2017 #7 DITRO YOSIA said: Jaman,mwenye PowerIso inayoweza kucreat image windows 7 Anisaidie Click to expand... hakuna power iso isiyitengeneza image
DITRO YOSIA said: Jaman,mwenye PowerIso inayoweza kucreat image windows 7 Anisaidie Click to expand... hakuna power iso isiyitengeneza image
DITRO YOSIA Member Joined Aug 1, 2016 Posts 26 Reaction score 3 Oct 24, 2017 Thread starter #8 Mi ninayo ambayo nikiwa natengeneza haifki mwisho inaishia katikat
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,850 Oct 25, 2017 #9 DITRO YOSIA said: Mi ninayo ambayo nikiwa natengeneza haifki mwisho inaishia katikat Click to expand... lambda trial
DITRO YOSIA said: Mi ninayo ambayo nikiwa natengeneza haifki mwisho inaishia katikat Click to expand... lambda trial
DITRO YOSIA Member Joined Aug 1, 2016 Posts 26 Reaction score 3 Oct 25, 2017 Thread starter #10 Yenyewe haija be registered make ikifika katika hua wananiambia niiregister ili iweze kukamilika na nimejarb nimeshindwa,nahitaj maelezo ya kina zaidi
Yenyewe haija be registered make ikifika katika hua wananiambia niiregister ili iweze kukamilika na nimejarb nimeshindwa,nahitaj maelezo ya kina zaidi