Msaada

Msaada

Sindi mahuwi

Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
16
Reaction score
4
Jaman samahanini nimechaguliwa saut mwanza na udsm sasa bahati mbaya kunakosa limefanyika nimeconfirm vyuo vyote hvyo katika kutafuta suluhisho nikawa awapigia sim saut wani unconfirm na nimetuma ujumbe kwenye email yao ya kuwajulisha kua nimeconfirm chuo kingine ndicho nitakachoenda lakini hawajanipa jibu lolote sasa leo nimeona kwenye account yang ya udsm kuna button ya ku unconfirm sasa nifanyaje?
 
Confirm mpaka makerere mkuu.Ukiona kitufe cha Egerton confirm,ukiona cha Moi unoversity,ukiona maseno we bonyeza tu na hata kampala ikijas bonyeza,we bonyeza tu mkuu kwani nini.
 
Back
Top Bottom