malu02 Member Joined Oct 5, 2016 Posts 23 Reaction score 37 Jun 10, 2017 #1 Wakulima wenzangu naomba yeyote mwenye ufaham wa kiliimo cha karanga anijulishe ABC zake hasa ktk hali ya hewa zinapostawi sana, kiasi cha mvua zinazoitajika, udongo na hata magonjwa yanayozikumba na jinsi ya kukabiliana nayo. Nawasilisha...
Wakulima wenzangu naomba yeyote mwenye ufaham wa kiliimo cha karanga anijulishe ABC zake hasa ktk hali ya hewa zinapostawi sana, kiasi cha mvua zinazoitajika, udongo na hata magonjwa yanayozikumba na jinsi ya kukabiliana nayo. Nawasilisha...