msold msward JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 595 Reaction score 202 May 12, 2017 #1 Nashida kuna mtu yupo Uganda anataka anitumie mzigo amesema nimpe address yangu na kitambulisho na maelezo yanayoweza thibisha kuhusu mm ili niweze pata uwo mzigo na mm sina vielelezo ivyo naomben mnisaidie
Nashida kuna mtu yupo Uganda anataka anitumie mzigo amesema nimpe address yangu na kitambulisho na maelezo yanayoweza thibisha kuhusu mm ili niweze pata uwo mzigo na mm sina vielelezo ivyo naomben mnisaidie
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,276 Reaction score 72,488 May 12, 2017 #2 Tafuta mwenye vielelezo husika atakusaidia mkuu
byancas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 268 Reaction score 248 May 12, 2017 #3 Fanya hivi ampe mzigo dereva wa Gari na amtoe pia ampe na namba za simu akifikia we unachek na dereva unaenda chukua mzigo wako
Fanya hivi ampe mzigo dereva wa Gari na amtoe pia ampe na namba za simu akifikia we unachek na dereva unaenda chukua mzigo wako
byancas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 268 Reaction score 248 May 12, 2017 #4 Tumefanya sana michezo hiyo Kampala coach na Scandnavia enzi hizo