Hapo ndo ulipo fail mkuu...kasheshe yake sasa sio kitoto hapo...jaribu kutafuta simu kama hyo na read firmware kisha ukaistue kwenye simu yako...ikiishia hata kati irudishe kweny sp flash tool kisha flash...niliwah fanikiwa huawei moja kwa style hii.