MSAADA;

gowele57

Member
Aug 11, 2016
52
41
NAOMBA KUJUA CHANZO CHA NOZLE ZA LAND CRUISER V8 200 SERIES KUSHINDWA KUFANYA KAZI.
 
Common rail injector nozzle, aina hii ya nozzle haziwezi kabisa kuhimili mafuta yaliochakachuliwa hata kdg" ili kwenda nazo sawa hakikisha hutembei na mafuta kidogo kwenye tank {mafuta yanapokuwa kdg kwenye tank nafasi kubwa ya tank hubakia wazi, hewa inayokuwepo hufanya unyevunyevu na hivo kuzalisha maji ambayo huharibu aina hii ya nozzle kirahisi kbs"} jijengee tabia ya kuyatibu mafuta kabla ya kuyatumia hilo tatizo utalisahau, ukizingatia nozzle za aina hii ni ghali sana"
 
Back
Top Bottom