Aron Mbungu
Member
- Apr 11, 2015
- 38
- 4
Nimechaguliwa TEKU degree ya computer science mwaka huu ila sijaenda kuriport kwa sababu sijapata mkopo na ili nipostpone ni mpaka kufanya usajiri kwanza yaani kulipa ada
Sasa je naweza kuomba tena mwakani?
Sasa je naweza kuomba tena mwakani?