msaada

yakub

Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
41
Reaction score
4
jamani wanajamii naombeni mnishauri kuhusu dish bora ya kununua.jana nilienda mjini na kukuta kuna aina nyingi za madish,bei tofauti na hata size nazo ni tofauti so ckujua nifanyeje.kwa hiyo wanajamii naombeni ushauri kuhusu ninunue dish gani ambayo nitapata chanel nyingi na nzuri.
 
Mpango mzima DStv, tena ile ya dola mia na kumi sijui... Michaneli kedekede!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…