Msaada

Msaada

Mayback0655

Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Habari za asubuh jamani..? Naomba mnisaidie hivi kwenye majina ya waliokosea vitu vidogovidogo kwenye kuomba mkopo zile namba mwanzoni zimekaaje ni za form four au? Nisaidien
 
ndio ni za form4 na uzuri wamezisort kwa order safi kabsa
 
Pia wameanza na wa jinsia ya kike, ya waombaji wenye jinsia ya kiume yapo chini.
 
Back
Top Bottom