Hussayn yahaya
Member
- May 12, 2016
- 19
- 2
Naomba nijuzwe kama mtu cheti kimepotea katika hari ya kuhama tu nyumba je unatakiwa ufanyeje ili uweze kutambulika kama ulikuwa nacho na ulishaombea chuo na bahati mbaya kimepotea kipindi unasoma chuo?
Uende na report loss necta then wao watatangaza kwenye magazeti kwa week tatu wasipoona mrejesho after that watakupa duplicateHarafu nikishatoa taatifa polisi nichukue hatua gani tena?