paramawe Senior Member Joined Apr 13, 2013 Posts 151 Reaction score 24 Apr 2, 2016 #1 Kwa anayefahamu bei na gharama za kununua Ice block machine iliyo na uwezo wa kugandisha kg 1000, kwa hapa Tanzania au nje anijulishe.
Kwa anayefahamu bei na gharama za kununua Ice block machine iliyo na uwezo wa kugandisha kg 1000, kwa hapa Tanzania au nje anijulishe.
Jayll7 Senior Member Joined May 20, 2014 Posts 170 Reaction score 21 Apr 2, 2016 #2 Ukiona unakosa majibu basi jiongeze, nenda eBay kaangalie trend ya price ya hiyo bidhaa then utakua umepata jibu unalohitaji ndugu.
Ukiona unakosa majibu basi jiongeze, nenda eBay kaangalie trend ya price ya hiyo bidhaa then utakua umepata jibu unalohitaji ndugu.