Msaada: Zinapokaa video za kwenye PC baada ya kuziconvert

Msaada: Zinapokaa video za kwenye PC baada ya kuziconvert

mwita burure

Senior Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
192
Reaction score
39
Ndungu wana jf nimekovernt nyingi kwenye pc yangu but cha ajaabu sioni file zipokaa msaaada hapo please
 
zinakaa pale software uliotumia kuconvert inapotaka zikae. sababu hujasema umetumia software gani na sisi pia hatujui zipo wapi hizo video zako
 
Ndungu wana jf nimekovernt nyingi kwenye pc yangu but cha ajaabu sioni file zipokaa msaaada hapo please
Kwa nini wakati una-convert usichague output folder mwenyewe? Ukiacha i-save automatically mara nyingi inaweka kwenye folder mojawapo katika software uliyotumia.
 
Kwa nini wakati una-convert usichague output folder mwenyewe? Ukiacha i-save automatically mara nyingi inaweka kwenye folder mojawapo katika software uliyotumia.
Nimepata kutumia Format Factory... wao wana default folder lakini unaweza kubadilisha kupeleka unakotaka wewe!
 
hapo sasa inabidi ukifungua hiyo software yako kabla hujaanza kazi yako angalia default output folder...halafu libadilishe weka pale ambapo itakuwa rahisi kwako kupata ...
na kwa mfano ukitumia total video converter inapomaliza kukonvet inafungua hilo folder
 
Kama unatumia FORMAT FACTORY kuna folder imeandikwa Output folder na bofya hapo itakupeleka wapi video na audio zilipokaa
 
Back
Top Bottom