Msaada zilipo Ofisi ya Ardhi Dodoma

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,800
Kesho nataka kwenda Dodoma kwa mdhamini wa viapo anayepatika Ofisi ya Ardhi Dodoma.

Naomba msaada kutoka stendi kuu ni umbali gani na nitafikaje?

Natanguliza shukrani.
 
Kesho nataka kwenda Dodoma kwa mdhamini wa viapo anayepatika Ofisi ya Ardhi Dodoma.

Naomba msaada kutoka stendi kuu ni umbali gani na nitafikaje?

Natanguliza shukrani.
Ofisi ipo ubavuni mwa CCM,makao makuu.Inaangaliana na NMB tawi la Mazengo.Kigorofa Fulani kimechokachoka
 
Back
Top Bottom