Risk vs Return
Senior Member
- Apr 23, 2012
- 106
- 71
Windows 10Windows gani
ndio ina logo ya windows 7 ingawa nimeweka windows10pc yako ina logo/sticker ya windows kwenye kitako ama hapo chini ya keyboard?
key zipo shida ujuzi wa kuziweka unaohabari. pc yangu ina shida kama hiyo.
kama ina logo ya windows 7, kwa chini ya laptop utakuta sticker ina keys za windows 7, jaribu kutumia hizo ku activate.ndio ina logo ya windows 7 ingawa nimeweka windows10
Mkuu yangu haina sticker yeyote ya Windows NIFANYE NINI ?pc yako ina logo/sticker ya windows kwenye kitako ama hapo chini ya keyboard?
kama haina means haijakuja na windows, ili ueke windows itabidi uchakachue, tumia KMSpico kama ulivyoambiwa huko juu.Mkuu yangu haina sticker yeyote ya Windows NIFANYE NINI ?
Mhe Yales yangu ni Window 10 Pro naomba hizo keys please10 Home au pro tukupe keys ila pia A smmoth method to activate Window ni through KMspico activator then uta activate both Window na MS Package