Wakuu naombeni msaada hapa,ninataka kuomba uhamisho kutoka chuo cha private kwenda cha government, kwa diploma, inawezekana?? Na pia nikishaomba uhamisho nitakwenda kuripoti chuo nilichopangiwa au ninakaa nyumbani nikisubiri uhamisho??.naombeni nisaidieni hapa wakuu,