Msaada Written Interview: Financial Officer

Hiyo Kaz ya u banker uliipataje?
 
Hiyo Kaz ya u banker uliipataje?
Mkuu bank hatukufanya written. Sijawahi kufanya written interview. Kikubwa hapo nawaza aina ya maswali, yatakua technical or general
 
Inategemea ni taasisi gani..
Ila kama haujasoma CPA niamini mm interview itakupa shida..
Maswali ni ya darasani tu...financial a/ccntng sana sana
 
Inategemea ni taasisi gani..
Ila kama haujasoma CPA niamini mm interview itakupa shida..
Maswali ni ya darasani tu...financial a/ccntng sana sana
Shukrani mkuu, ninayo nilipata mwaka jana
 
zikumbuke basic roles za financial officer/manager. mfano investment, decision making, dividend payment
Shukrani mkuu, so far inaonekana ni maswali ya darasani tu
 
Umemjibu mubashara .....watu wengine wanajiona wanajua sana sijui ni graduate wa Massachusetts institute of technology
Jamn usinielewe vbaya sikumjibu kwa nia mbaya au kuonyesha mm ni bora zaidi yake..

Angalia alivojibu comment yangu kwa positive tone afu cheki comment yako.

Interview written nyingi needs wider knowledge, ukiwa umesoma CPA akili yako inakua imechangamka kuliko ambae hajasoma,sikumjibu kwa kumkashifu!
 
Umekosea ku~quote Dada .....jaribu kufatilia vizuri mtiririko juu uone ....hakuna sehemu ambayo nime Ku quote wewe but nime m~quote mtoa mda ambaye naye ame m~quote mtu mwingine na sio wewe .....

Labda una double I'd .....sorry lakin
 
Middle East hajamaanisha wewe mkuu
 
Aisee Na mimi nina written jumanne nafasi ya finance Manager alafu mtupu kweli Pep msaada
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…