Hiyo Kaz ya u banker uliipataje?Wakuu habari za muda huu.
Natarajia ku attend written interview katika position ya Financial officer mapema next week.
Mimi nimesoma accounting na kwa sasa ni banker sina idea kabisa ni vitu gani ntaulizwa kwenye hiyo written.
Nisaidieni tips za kunisaidia kujiandaa tafadhani.
Natanguliza shukrani wakuu.
Umemjibu mubashara .....watu wengine wanajiona wanajua sana sijui ni graduate wa Massachusetts institute of technology
FM ni sehem katika CPA...usimvunje moyo. maswal ya financial management ndo sana, post ni financial officer sio accountant
Jamn usinielewe vbaya sikumjibu kwa nia mbaya au kuonyesha mm ni bora zaidi yake..Umemjibu mubashara .....watu wengine wanajiona wanajua sana sijui ni graduate wa Massachusetts institute of technology
Umekosea ku~quote Dada .....jaribu kufatilia vizuri mtiririko juu uone ....hakuna sehemu ambayo nime Ku quote wewe but nime m~quote mtoa mda ambaye naye ame m~quote mtu mwingine na sio wewe .....Jamn usinielewe vbaya sikumjibu kwa nia mbaya au kuonyesha mm ni bora zaidi yake..
Angalia alivojibu comment yangu kwa positive tone afu cheki comment yako.
Interview written nyingi needs wider knowledge, ukiwa umesoma CPA akili yako inakua imechangamka kuliko ambae hajasoma,sikumjibu kwa kumkashifu!
Middle East hajamaanisha wewe mkuuJamn usinielewe vbaya sikumjibu kwa nia mbaya au kuonyesha mm ni bora zaidi yake..
Angalia alivojibu comment yangu kwa positive tone afu cheki comment yako.
Interview written nyingi needs wider knowledge, ukiwa umesoma CPA akili yako inakua imechangamka kuliko ambae hajasoma,sikumjibu kwa kumkashifu!
UmeishaAisee Na mimi nina written jumanne nafasi ya finance Manager alafu mtupu kweli Pep msaada
kivipi mkuu?,najua maswali ya kawaida tu?,tena nagoogle nimeachana na madesa kitamboUmeisha