Lalo Salamanca JF-Expert Member Joined Dec 9, 2012 Posts 1,561 Reaction score 1,174 Feb 26, 2014 #1 Ninatumia tapatalk v4.3.4 na niliona kuna mtu anapost kwenye hili jukwaa kwa kutumia tapatalk,nimejaribu kulitafuta hili jukwaa kupitia tapatalk ila sijalipata,kwa anaejua anisaidie.
Ninatumia tapatalk v4.3.4 na niliona kuna mtu anapost kwenye hili jukwaa kwa kutumia tapatalk,nimejaribu kulitafuta hili jukwaa kupitia tapatalk ila sijalipata,kwa anaejua anisaidie.