Msaada: Windows Explorer has stopped working | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Windows Explorer has stopped working

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by M-pesa, Sep 1, 2012.

 1. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Msaada wenu wakuu, nimejaribu ku-google na ku apply njia kadha wa kadha lakini bado sioni mafanikio.
  Njia nilizojaribu ni zifuatazo:
  1) Scanning ya virus
  2) Kuingia kwenye safe mode na kutumia command ya Chkdsk ...., commands zingine ni kama vile msconfig ....explorer. Exe ...lakini hakuna mafanikio
  3) Nimejaribu ku restore computer yangu kwenye status za tarehe za nyuma ambazo zilikuwa zinafanya kazi safi kabisa

  Natumia window 7 bit 32
  Computer nayotumia ni Toshiba satellite
  Asanteni sana
   
 2. N

  Nyasiro Verified User

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ni wakati gani inaacha kurespond?
   
 3. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu ninapo login tu! Inanionesha background tu bila icons zozote kwenye desktop na kudisplay hiyo error msg, kiasi kwamba siwezi kufanya lolote mkuu!
   
 4. koplo

  koplo JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 596
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  piga chini window.
   
 5. N

  Nyasiro Verified User

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kama uliinstall thirdparty themes mara nyingi humodify explorer.exe au Kuna program ambayo inatakiwa i run at startup ambayo inategemea explorer.exe na haiko compatibo au ina affect explorer. Kwani ukirestart explorer bado tatizo linaendelea? ukiwa kwenye safemode bado tatizo linatokea. Kama una weza kufika kwenye program files futa baadhi ya progs ambazo unadhan znaweza kuwa chanzo au 2mia ccleaner kufuta startup programs
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Exactly wat i was thnking... LINUX :D
   
 7. N

  Nyasiro Verified User

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
Loading...