Msaada windows 8

Hansy wa East

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
446
Reaction score
232
Kuna jamaa kanipa set up za windows 8 nimejaribu kupiga window kwenye pc ikakaa poa tu ila kuna setings hazipigi kazi na inataka activation keys na mm cna sasa naombeni mnisaidie kwanza kunamadhara gani nikiendelea kuitumia bila kuweka hzo keys
2:bila kununua online ni njia gan nyingine inayoweza kunisaidia kupata hzo keys?
3.kuna madhara gani ukiwa unabadilisha windows mara kwa mara?
Naomba msaada plz.
 
kuformat mara kwa mara kunachosha hard disk ambako panaweza kupelekea kufa.
kuna kasoftware ukitumia ina activate hiyo windows pitia baadhi ya post za windows 8 utapata search kwa windows 8 activator
 
kuformat mara kwa mara kunachosha hard disk ambako panaweza kupelekea kufa.
kuna kasoftware ukitumia ina activate hiyo windows pitia baadhi ya post za windows 8 utapata search kwa windows 8 activator

asante ngoja nitest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…