nzalla Member Joined Mar 15, 2011 Posts 31 Reaction score 0 Nov 30, 2012 #1 Wadau wenzangu wa jf natafuta cd ya windows 8, mwenye nayo naomba anisaidie kuipata. Hata kama kuna gharama ya kuchangia nitajitahidi nichangie.
Wadau wenzangu wa jf natafuta cd ya windows 8, mwenye nayo naomba anisaidie kuipata. Hata kama kuna gharama ya kuchangia nitajitahidi nichangie.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Nov 30, 2012 #2 tafuta humu humu kuna watu walishatoa link sehem ya kuipakulia.. ila utabidi uwe na internet yenye spidi pamoja na bando la kutosha..
tafuta humu humu kuna watu walishatoa link sehem ya kuipakulia.. ila utabidi uwe na internet yenye spidi pamoja na bando la kutosha..
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,220 Reaction score 44,194 Nov 30, 2012 #3 then unapoomba kitu kama hivyo inabidi utaje na eneo ulipo ndo inapendeza maana unaweza kua mwanza mi nipo mtwara ntakusaidiaje?
then unapoomba kitu kama hivyo inabidi utaje na eneo ulipo ndo inapendeza maana unaweza kua mwanza mi nipo mtwara ntakusaidiaje?
J junior05 Senior Member Joined May 3, 2011 Posts 186 Reaction score 46 Nov 30, 2012 #4 Mkuu inabidi useme location, mana kama upo nje ya dar,ukishadownload kuna suala la kuiburn,na original inahitaji DVD5 8.5GB ingawa haijai yote,sijui kama mikoani zipo
Mkuu inabidi useme location, mana kama upo nje ya dar,ukishadownload kuna suala la kuiburn,na original inahitaji DVD5 8.5GB ingawa haijai yote,sijui kama mikoani zipo
morphine JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 3,512 Reaction score 1,114 Nov 30, 2012 #5 ndetichia said: tafuta humu humu kuna watu walishatoa link sehem ya kuipakulia.. ila utabidi uwe na internet yenye spidi pamoja na bando la kutosha.. Click to expand... kama alivyosema mdau hapo juu, link zipo wewe na muda wako wa kuperuuziii na kudaadiiisi forum
ndetichia said: tafuta humu humu kuna watu walishatoa link sehem ya kuipakulia.. ila utabidi uwe na internet yenye spidi pamoja na bando la kutosha.. Click to expand... kama alivyosema mdau hapo juu, link zipo wewe na muda wako wa kuperuuziii na kudaadiiisi forum