Kuna watu wameshakutana na hii error katika windows 10.?
" One or more network protocol are missing on this computer "
Uliisolve vipi.? Maana inakera. Nimejaribu fuata ushauri wa ku-reset socket, IPv4 katika CMD kama ushauri wa mitandaoni unavyosema lakini wapi.
Net napata toka kufanya tethering na Windows phone. So inakuwa ni kazi ya ku-restart simu na PC kila mara. Inakeraaa.