Msaada Window 7

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,369
Reaction score
1,338
Wakuu naombeni msaada nikipiga window kwa pc inaniletea ujumbe huu.



MREJESHO

Shukrani wakuu nimefanikiwa. Ila kwa njia ya kudelet ile partition ya window na kuirudish ikakubali shukrani sana kwa mawazo yenu.
 
1. Zima Computer
2.Washa
3.Bonyeza Esc

4.Jaribu.
Badilisha boot option na uweke boot from CD ROM

Ikifeli
Rudia hatua hizo tatu kisha nenda kwenye system settings tafuta neno "EFI" Kisha badirisha.
 
1. Zima Computer
2.Washa
3.Bonyeza Esc

4.Jaribu.
Badilisha boot option na uweke boot from CD ROM

Ikifeli
Rudia hatua hizo tatu kisha nenda kwenye system settings tafuta neno "EFI" Kisha badirisha.
Ni mini laptop haina sehem ya cd room
 
Ni mini laptop haina sehem ya cd room
Unajua kuingia command prompt Kutokea hapo? Unatakiwa kuiformat hdd yako kama GPT, PC yako ina Bios za Uefi na HDD yako ni MBR (legacy bios)

1.bonyeza Shift+F10 ili uingie kwenye command prompt
2.andika diskpart kisha bonyeza enter
3. Kisha andika list disk halafu enter
4. Kisha andika select disk X hio X ni namba ya disk, kama ni disk 1 unavyotaka kuiformat utaandika select disk 1
5.Andika clean ili kufuta kila kitu then enter
6. Andika convert GPT ili kubadili mbr kuwa Gpt

Maelezo zaidi utapata hapa

Sema nimeyageuza kidogo kufit tatizo lako, maelezo ni namna ya kubadili gpt kuwa MBR, wewe tatizo lako ni kubadili mbr kuwa gpt, vice versa.
 

Tengeneza bootable upya kwa kutumia rufus ina option zote mbili kama utakwama njia za wadau hapo juu
 
Wakuu naombeni msaada nikipiga window kwa pc inaniletea ujumbe huu.

View attachment 1676334
Option 1: Format hard disk nzima kma hauna kitu cha maana kwenye hyo disk. Kisha ufute partition zote utengeneza upya itajibadlisha kuwa GPT

Option 2: Kma una vitu kwenye hard disk katengeze bootable usb upya na uchagua MBR na BIOS options kwenye Rufus upige windows yako
 
Shukrani wakuu nimefanikiwa. Ila kwa njia ya kudelet ile partition ya window na kuirudish ikakubali shukrani sana kwa mawazo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…