Msaada:Wimbo wa kampeni ya CHADEMA kwenye simu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:Wimbo wa kampeni ya CHADEMA kwenye simu.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Tusker Bariiiidi, Sep 4, 2010.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Nilifurahi sana baada ya kumpigia jamaa yangu mwenye Number ya tigo...kwa kutumia Tigo na kusikia wimbo wa Kampeni wa CHADEMA "CALLER BACK TUNES"

  Wenye baadhi maneno yafuatayo "Huzuni kwa waTanzania Ari mya iko wapi? kasi mpya iko wapi? nguvu mpya iko wapi? TUWAMWAGE TUWAMWAGE CCM..." Kwa utaratibu tunaofanya hapa TZ unabonyeza nyota * unakuwa wako lakini nikaukosa nikapiga namba zao za kuomba nyimbo Chali... Nikapiga Cutomer care wakaniambia kama naujua kwa jina niwapatie waweke automatically
  Ombi langu kuna mwanaJF anajua jina la wimbo huo? Au namba yake Short Code? Naombeni msaada nina wanaharakati 30 wanautaka wimbo huu je makampuni mengine yana nyimbo za kampeni za CHADEMA? AHSANTENI Mdau Tusker Bariiiidi!
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Wadau msaada please...
   
 3. M

  Mfuatiliaji Senior Member

  #3
  Sep 4, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 152
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mdau jamani ameomba msaada kama kuna njia ya kumsaidia asaidiwe
   
 4. B

  Bull JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama cha mitandao bwana!!!!
   
Loading...