Pole sana mleta mada kwa hili tatizo la "system failure". Ninavyofahamu mimi ni kuwa sexual arousal/erection ni tokeo la msukumo wa mawazo. Hivyo kama ubongo wako umezongwa na jambo zito sexual arousal inapotea. Swali la kujiuliza je mleta mada ana msongo gani wa mawazo? Anafuatiliwa na Takukuru mambo ya ufisadi? TRA wanamunyemelea kukomboa fedha zetu? Ndalichako kamshupalia kufuatilia vyeti fake alivyopata wakati wa enzi za bwelele?!!!