Habari Jf doctors!
Ni wiki sasa jogoo (uume) wangu haujawahi kusimama , iwe asubuhi au usiku jamaa kalala ,, sijui sababu gani? najitahid kunywa Maji mengi na kufanya mazoez kila siku Ila jamaa yupo kimya tofauti na kipindi cha nyuma.
Nisaidieni wadau