NP300E5Ataja model ya hio laptop ya samsung. angalia chini kwenye kitako unaweza ukaiona.
ingia hapa utazionaNP300E5A
Asanteh sana.ingia hapa utaziona
NP300E5A-A05ZA Essential features, exceptional quality | Samsung Support AFRICA_EN
kuna moja ya intel na moja ya athero, pc yako inatumia moja kati ya hio.
kwa kusearch drivers kitaalamu zaidi unaweza fata ushauri huu hapa chini incase njia ya juu imeshindikana
How to find vendor and model of unknown drivers
Dispay Driver Boss Update Driver Online Easy tu broChief mkwawa ni PC yangu HP haitaki kupunguza mwanga naumia sana macho nikitaka kukaa kuitumia msaada nafanyaje .? Na vile vitufe vya kupunguzia mwanga havifanyi kazi kabisa
Tatizo hili lilianza baada ya kubadili window
kama alivyokuambia mdau hapo juu hujaeka drivers za graphics.Chief mkwawa ni PC yangu HP haitaki kupunguza mwanga naumia sana macho nikitaka kukaa kuitumia msaada nafanyaje .? Na vile vitufe vya kupunguzia mwanga havifanyi kazi kabisa
Tatizo hili lilianza baada ya kubadili window
Mkuu ni Hizi hapakama alivyokuambia mdau hapo juu hujaeka drivers za graphics.
nenda mycomputer kisha right click kisha properties nisomee jina la cpu lote uliandike hapa.
Mkuu ni Hizi hapa
Processor : Intel(R)Celeron CPU N3050@1.60Ghz
.
RAM:2.00GB
System Type 64-bit OS
Windows 8.1pro
Slim driver sio kubwa sana kama driver pack solution?Download "Slim Drivers" ni software ipo google,..install,.,scan computer yako,itakuonesha drivers zote ambazo PC yako inamiss na itakupa option ya kuzidownload hapo hapo,.. Inakuletea drivers za PC yako kabisa.
Slim driver sio kubwa sana kama driver pack solution?
Chief mkwawa nashukuru sana hii link imefanya kazi vizuri .download hapa
Downloads for IntelCeleron
Processor N3050 (2M Cache, up to 2.16 GHz)
kuna za 32bit na 64bit. download kutokana na os ulioeka.
rudi tena kule mycomputer kisha properties uone aina ya os yako kama ni 32bit ama 64bit.
