Msaada: Whatsapp kwenye simu ya X-box

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
2,324
Reaction score
2,204
Habari wadau.

Nina simu ya X-BOX nili install whatsapp lakini juzi imekataa kufanya kazi iikataka ni update.

Kila nikijaribu inasema error, device has insuffient memory.

Nime uninstal whatsapp lakini nikijaribu ku install tena inakuja error ileile.

Nifanyeje?
 
Hauna space simu imejaa. Nenda setting halafu storage angalia umebakiwa na Mb ngap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…