Msaada: Whatsapp haitaki

Msaada: Whatsapp haitaki

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,231
Reaction score
1,495
Whatsapp wametoa version mpya na wanataka ni-update. Lakini nikienda google play, inasema device yangu haiendani na hiyo new version. Nafanyaje sasa?
Natumia samsung tablet note.
 
Whatsapp wametoa version mpya na wanataka ni-update. Lakini nikienda google play, inasema device yangu haiendani na hiyo new version. Nafanyaje sasa?
Natumia samsung tablet note.
Kama ulitumiwa text umeliwa achana na hivyo vitu, kuna text za ku forwardiana achana nazo.
Au una tatizo lingine!
 
Kama ulitumiwa text umeliwa achana na hivyo vitu, kuna text za ku forwardiana achana nazo.
Au una tatizo lingine!
Hujanielewa mkuu. Mbona issue ya version kuwa obsolete ni ya kawaida tu. Yaani ni hiviii.....Nikifungua whatsapp haifunguki bali inasema "version iko obsolete natakiwa ni-update". Na kuna tab ya download kwa chini. Niki-tweak tab ya download, inanipeleka google play kamakawaida, ina-search hiyo new version, ikipatikana google play wanasema "device yangu haiko compatible na hiyo new version, new version iko designed kwa simu tu". Sasa natafuta njia mbadala yaku-update whatsapp. Nadhani umenielewa mkuu. Siku saba kabla niliona msg toka whatsapp kwamba after 7 days version yangu itakuwa obsolete. Huo ni mchakato wa kawaida. Asante.
 
Problem solved wakuu. Nimeenda moja kwa moja whatsapp.com nikapakuwa new version, nika-update. Google play ndio wanazingua na process yao ya ku-check compatibility. Ila inabidi uende setting - security, then una-allow installation from unknown source. Usisahau ku-uncheck baada ya kumaliza.
 
Back
Top Bottom