Mkuu kwani huko uliko laini ya Tanzania haifanyi kazi?Kwa maana ya kupokea meseji. Kama unaweza pokea meseji we uninstall tu then code utatumiwa.Habari za muda huu Mabibi na Mabwana.
Naitaji msaada WhatsApp yangu imekorapti tangu Asubuhi simu hipo kwenye Internet lakini WhatsApp Aifanyi kazi nikituma SMS aziendi.
Naogopa Ku UnInstallation kwasababu nipo nje ya Tanzania natumia WhatsApp kwa namba yangu hiyo hiyo ya Tanzania sasa naogopa inaweza kukutaa kurudi tena kwenye WhatsApp kwa namba yangu hiyo ya Tanzania.
Naombeni msaada kwa yeyote anaeweza anifahamishe.
Nimejaribu but wanasema kama simu aiwezi kupokea SMS aiwezekani ndio maana nimekuja humu Jf kuna wajuzi wengi wanaweza kunisaidia, kutumia WhatsApp kwa namba ya huku sitaki watu wengine wajue kama sipo Tanzania ndio maana natumia WhatsApp kwa namba ya Tanzania.Nenda YouTube kuna topics kibao zitakusaidia
Hiyo kama hujui adds na link utakesha, nenda gb setting alafu update tafuta link ya ku download na sio add iliyoandikwa downloadHapana mkuu sio WhatsApp ya play store, Natumia WhatsApp Gb
Line gani?Huku niliko Voda inasoma na meseji zinaingia kama kawaida ila siwezi kutuma txt au kupiga simu.Na watsap yangu huwa natumiwa code kupitia namba ya vodaLine Aiwezi kupokea SMS mkuu line imeoff kabisa sipatikani kwa call wala SMS.
Tigo ni chenga. Airtel na voda ziko poa. Message unapata kama kawa hata ukitumiwa hela inaingia ila huwezi itoa.Natumia line ya tiGo Alafu huku Akuna Roaming connection
Mkuu whatsapp ni web based sio laini ya simu uliyosajilia, tumia line yeyote ya huko then ifute hiyo whatsapp then anza maisha mapya hakuna kinachopotea, ila kwenye registration utaandika hiyo laini ya hapa bongo. Data zote za whatsapp zinarudi upya kama chats nkHabari za muda huu Mabibi na Mabwana.
Naitaji msaada WhatsApp yangu imekorapti tangu Asubuhi simu hipo kwenye Internet lakini WhatsApp Aifanyi kazi nikituma SMS aziendi.
Naogopa Ku UnInstallation kwasababu nipo nje ya Tanzania natumia WhatsApp kwa namba yangu hiyo hiyo ya Tanzania sasa naogopa inaweza kukutaa kurudi tena kwenye WhatsApp kwa namba yangu hiyo ya Tanzania.
Naombeni msaada kwa yeyote anaeweza anifahamishe.
Mkuu whatsapp ni web based sio laini ya simu uliyosajilia, tumia line yeyote ya huko then ifute hiyo whatsapp then anza maisha mapya hakuna kinachopotea, ila kwenye registration utaandika hiyo laini ya hapa bongo. Data zote za whatsapp zinarudi upya kama chats nk
Hata ukibadili watajua kama ukituma message ya kawaida, ila mawasiliano ya text kwa whatsapp hayaonyeshi line, yataendelea kuonyesha kama unatumia line ya bongoSawa mkuu Ahsante sana kwa ushauri nitafanya hivyo ingawa siitaji watu wengine wajue kama nimesafiri sipo Bongo .
Tatizo pale katika kujaza namba hatopokea zile confirmation code kama nimemuelewa mkuu na tigo haina roaming nchi za watu.Hata ukibadili watajua kama ukituma message ya kawaida, ila mawasiliano ya text kwa whatsapp hayaonyeshi line, yataendelea kuonyesha kama unatumia line ya bongo