Wadau naomba msaada wa kupata application ya whatsapp kwenye simu yangu aina ya TECNO T731(android), kwani kila nikijaribu zinagoma kudownload.
Natarajia msaada wenu
Wadau naomba msaada wa kupata application ya whatsapp kwenye simu yangu aina ya TECNO T731(android), kwani kila nikijaribu zinagoma kudownload.
Natarajia msaada wenu
wadau naomba msaada wa kupata application ya whatsapp kwenye simu yangu aina ya tecno t731(android), kwani kila nikijaribu zinagoma kudownload.
Natarajia msaada wenu
Me ninavyojua techno 4n technologies hawatumii whatsapp ya google store.so kinachotakiwa ni kuingia www.whatsapp.com then download alafu install but uwe umewezesha installation za products nje ya google market