Msaada wenu wana jf

contask

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2021
Posts
974
Reaction score
2,005
Habar zenu wakuu
, mimkijana mweny umri
wa miak 21 Nnaelimu ya advance ..kama kuna kazi naomba tujulishane wadau wa jf
 
Nnaelimu ya advance pia nnachet cha jkt..kama kuna kazi naomba tujulishane wadau wa jf
Nenda chuo elimu ya advance na cheti cha jkt ndiyo nini? Una ujuzi gani?
 
Wewehuna shida na Kazi. Kwanza husalimii. Pili umeandik two lines. Ukihitaji kazi beg for it tukufikirie 😊
Acha hizo Mambo Mbona unampa kijana stress,wakati amekuja mahalo pa kuondoshea stress na kupata Mawazo mapya ,hamasa ,ushauri na faraja?
 
Acha hizo Mambo Mbona unampa kijana stress,wakati amekuja mahalo pa kuondoshea stress na kupata Mawazo mapya ,hamasa ,ushauri na faraja?
Mie Nina duka la nguo ningempa kazi customer service. Sasa husalimii customers hapo kasha feli usahili. Pili nimemrekebisha Ili nijue kweli atarudia kusalimia hajarudi. Binafsi kwa Kaz nayotaka kumpa hatoweza. .

Ila naomba nichukue nafasi hii kumuombea kazi kwa wengine humu. .
 
mkuu shikamoo

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kwani unataka kazi jeshi la polisi[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaua mbavu zangu
ajira ngumu mkuu [emoji1]huwa nikipeleka cv sehemu nasalimia kila nnaemkuta mbele yangu huku mikono imeshikana
 
Salam ya ofisi sio shikamoo
Ofisi unasalimia za kazi, habari za kazi


Mimi na wewe tunalingana mbona unazingua mwanangu πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo jamaaa inaonekana atakuwa boss mzuri SanaπŸƒπŸƒ
 
Unajua sometimes inatupatasa kuongea kifupi kwa sababu ukiongea sana unaonekn msanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…