Msaada wenu wana Chit - Chat mie napotelea huku

Tehe!tehe!tehe!tehe!mungu akupe nini?,mke na mimba jama!! Una bahati!!
 
Kanipa Mke aitwae Kailash na mie nimekua Nuri nakula ma raha tu hapa kwa baba mkwe ila sipendi vya bure
Tehe!tehe!tehe!tehe!mungu akupe nini?,mke na mimba jama!! Una bahati!!
 
hahahah pole sana mkuu,bahati haziji mara mbili ilo zali aisee,mke na mimba?op watoto watakua mapacha,hahahah baba mkwe yupo fair na wewe kabisa,we baki tuu huko watu tupate trip za kuja kukusalimia
 
Haaaa... nimetoka kuogeshwa sasa ivi mwenzako, nimepakwa mafuta yenye harufu nzuri na mengineyo siri yako, nime ahirisha dar siludi tena.

Back
Top Bottom